Kihatam

Kihatam (pia Kimansim) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahatam. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kihatam imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihatam haihusiani na lugha nyingine.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search